Mutua, Kingi watafuta hifadhi kwa Ruto, wadai kuumizwa katika Azimio

NA WAANDISHI WETU MAGAVANA Alfred Mutua wa Machakos na mwenzake wa Kilifi, Amason Kingi jana Jumatatu walihama muungano wa Azimio wakidai kunyanyaswa. Gavana Kingi alisema alijiondoa Azimio kwa kile alieleza kuwa kutengwa kwa chama chake cha PAA katika meza ya maamuzi. Msemaji wa PAA, Lucas Maitha alisema Azimio ilimtenga kiongozi wa chama chao. “Tugundua kulikuwa […]