Mudavadi, Weta wajianika kwa kususia hafla ya Raila

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 16:13:30 EAT   |  General

Na BENSON MATHEKA HATUA ya kiongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetangula ya kukataa mwaliko wa kiongozi wa ODM Raila Odinga kuhudhuria kongamano la Azimio la Umoja alilotangaza rasmi azma yake ya urais inaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa Muungano wa One Kenya Alliance (OKA). […]