Mtangazaji wa redio King Kalala: Nimepatana kimwili na wanaume 50

Na FRIDAH OKACHI Mwigizaji na mtangazaji wa redio Prudence Chepkirui Tonui almaarufu King Kalala, amesema kuwa idadi ya wanaumme ambao amepatana nao kimwili ni 50. King Kalala ni mzaliwa wa Eldoret na alisomea shule ya msingi na upili eneo hilo. Alijiunga na Chuo Kikuu cha JKUAT na kuacha kabla hajamaliza. Ni jambo analosema humkera kwa kukosa […]