Msitilie shaka Hazina ya Nyumba, Rais awasihi Wakenya

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 11:18:27 EAT   |  News

NA MWANDISHI WETU RAIS William Ruto amewataka Wakenya wawe na imani na mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kutaka asilimia tatu ya mishahara ya wafanyakazi kuelekezwa kwa Hazina ya Nyumba ili wajengewe makazi bora na ya gharama ya chini. Kwenye hotuba yake kwa taifa wakati wa maadhimisho ya sherehe za makala ya 60 ya Madaraka […]