Mshukiwa wa ulaghai wa Sim Card ajipeleka Safaricom na kitambulisho feki

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 04:50:34 EAT   |  General

NA LABAAN SHABAAN MSEMO wa siku ya nyani kufa miti yote huteleza uliafiki kabisa kwa tapeli aliyejipeleka mtegoni akanaswa papo hapo. Mwizi sugu wa kadi za laini za simu yaani  ‘sim cards’ amekamatwa na makachero wa Thika, Kaunti ya Kiambu akiwa katika harakati ya ukora wa kubadilisha sim card kwenye duka la kampuni ya mawasiliano ya Safaricom. […]