Mshukiwa mmoja akamatwa, polisi wapata lita 38 za pombe haramu Makongeni

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 06:49:36 EAT   |  News

Na SAMMY KIMATU MSHUKIWA mmoja amekamatwa na maafisa wa polisi waliofanikiwa kutwaa lita 38 za pombe haramu ya chang’aa wakati wa msako dhidi ya vileo vilivyoharamishwa na serikali. Operesheni hiyo ilifanyika katika mtaa wa Makongeni kwenye kaunti ndogo ya Makadara. Kamanda wa polisi katika eneo la Makadara, Bw Timon Odingo aliambia Taifa Leo msako huo […]