Msanii Embarambamba aunganisha mashabiki mitandaoni kwa kibao chake ‘nataka kunyonywa’

NA MERCY KOSKEI MWIMBAJI wa nyimbo za injili kwa lugha ya Abagusii, Bw Christopher Nyangwara Mosioma maarufu kama Embarambamba amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuachilia kibao kipya mnamo Jumamosi, Septemba 23, 2023 kupitia chaneli yake ya Youtube. Katika wimbo huo wa kuchekesha, mwanamuziki huyo anayejulikana kwa visanga mitandaoni alieleza kwa mzaha kwamba nia yake ni “kunyonywa” na […]