Mradi wa maji kuimarisha maisha ya wakulima Gatundu

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa wadi ya Mang’u, Gatundu Kaskazini watanufaika pakubwa kutokana na mradi mkubwa wa maji wa Kamwamba. Mradi huo umefadhiliwa na serikali ya Kaunti ya Kiambu. Mradi huo uliozinduliwa majuzi na Gavana wa Kaunti ya Kiambu Dkt James Nyoro utanufaisha familia nyingi eneo la Gatundu Kaskazini ambao wanategemea kilimo. Kulingana na afisa mkuu […]