Mpishi mwenye ulemavu wa macho atupwa jela miaka 30 kwa kumnajisi mtoto

NA TITUS OMINDE MPISHI mmoja wa shule ya msingi ya kibinafsi mwenye ulemavu wa macho, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukiri kosa la kumnajisi mwanafunzi wa shule ya chekechea mwenye umri wa miaka mitano. Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 20 alishangaza mahakama ya Eldoret mnamo Jumatano alikiri kwamba harakati zake za uovu […]