Mpango wa ruzuku ya unga wa mahindi ulikuwa sakata kubwa, aungama Waziri Linturi

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 04:30:26 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Kilimo Mithika Linturi Jumatano, Machi 22, 2023 aliungama mbele ya wabunge kwamba ufisadi ulikithiri katika mpango wa ruzuku wa unga mahindi ya kati ya Julai na Agosti 2022. Bw Linturi ambaye alifika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Kilimo kutoa maelezo kuhusu mpango huo, aliitaka kamati hiyo kuwaita maafisa walioendesha […]