Moraa aamua kushiriki riadha za polisi badala ya Diamond League nchini Italia na Ufaransa

Na AYUMBA AYODI BINGWA wa Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, Mary Moraa amejiondoa kutoka duru za riadha za Diamond League za Florence (Italia) na Paris (Ufaransa). Moraa, ambaye alifaa kutimka mbio za 400m mjini Florence mnamo Juni 2 na mbio za 800m jijini Paris mnamo Juni 9, sasa ameelekeza nguvu zake katika riadha […]