Mmiliki wa kilabu, wafanyakazi wake wapatikana na hatua ya kuua mbunge wa zamani George Thuo

Taifa Leo
Published: Apr 19, 2024 17:55:58 EAT   |  News

NA RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa Porkies Club Paul Wainaina Boiyo na wafanyakazi wake watano wamepatikana na hatia ya kumuu aliyekuwa Mbunge wa Juja George Thuo miaka 11 iliyopita. Lakini punde tu Jaji  Roselyn Korir alipotoa uamuzi huo mkongwe Dkt John Khaminwa alimweleza amemshtua sawia na washtakiwa. Ulikuwa mwendo wa saa tisa na robo Jaji Korir […]