Mkutano wa Gachagua, wafanyabiashara wadogowadogo wazaa matunda

Taifa Leo
Published: Mar 29, 2024 06:50:07 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA WAFANYABIASHARA wadogowadogo wa Nairobi wanaoagiza bidhaa kutoka ng’ambo sasa wamepata afueni baada ya serikali kuamuru bidhaa zao zinazozuiliwa katika Bandari ya Mombasa ziachiliwe ndani ya wiki mbili. Bidhaa hizo zilizonunuliwa kutoka mataifa ya bara Asia zimezuiliwa kwa kushukiwa kuwa ghushi na kutolipiwa ushuru hitajika. Katika mkutano ulioongozwa na Naibu Rais Rigathi Gachagua […]