MKU yashirikiana na IUM ya Namibia kwa maswala ya afya

Taifa Leo
Published: Sep 07, 2023 13:20:11 EAT   |  Educational

NA LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) na Chuo Kikuu cha Kimataifa katika Masuala ya Usimamizi (IUM) cha nchini Namibia, vitashirikiana kwa elimu ya maswala ya afya. Makamu wa Rais wa Namibia Dkt Nangolo Mbumba alizuru chuo cha MKU mnamo Jumatano kushuhudia kutiwa saini kwa mkataba huo na pande zote mbili. Naibu Chansela […]