MKU yakariri kujitolea kuendelea kushiriki makongamano ya uimarishaji wa elimu

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 08:46:11 EAT   |  Educational

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) kiliandaa kongamano lililoleta pamoja washiriki kutoka kwa vyuo vya mataifa saba. Jumla ya wageni wapatao 1,000 walikongamana katika ukumbi wa MKU mjini Thika kuanzia Mei 22 hadi Mei 26, 2023. Naibu Chansela wa MKU Prof Deograttius Jaganyi alisema kongamano la kwanza la Access Summer School lilifanyika mara ya kwanza […]