Mkenya Elizabeth Wathuti apokea tuzo ya Amnesty International Chair

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 14:37:54 EAT   |  Educational

NA PAULINE ONGAJI MWANAMAZINGIRA Elizabeth Wathuti kutoka Kenya ndiye mwenyekiti wa shirika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International mwaka 2023. Mwanamazingira huyo alituzwa mnamo Jumanne Machi 21, katika hafla iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Ghent nchini Ubelgiji. Akitoa hotuba katika hafla hiyo Bi Wathuti alisema kwamba uteuzi huu utampa mfichuo zaidi […]