Mke wa MCA Trans Nzoia alivyotapeliwa nusu milioni akisaka nafasi za kazi polisi

Na EVANS JAOLA Maafisa wa upelelezi kutoka DCI wamefaulu kunasa washukiwa wa genge la matapeli wanne wanaohangaisha wakazi katika Kaunti ya Trans Nzoia. Makachero waliokuwa wanafuatilia genge hilo kwa muda walinasa wanne hao mjini Kakamega baada ya uchunguzi uliochukua miezi kadhaa kubaini jinsi wanavyoibia wakazi pesa. Washukiwa hao wanadaiwa kutapeli wakazi katika kaunti hiyo akiwemo […]