Mkataba sasa waanika unafiki wa Naibu Rais

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto anapanga kuingilia uhuru wa Idara ya Mahakama kwa kugawa nyadhifa katika idara hiyo endapo atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9. Kwa mujibu wa mkataba wa ugavi wa mamlaka kati ya vyama vitatu vikuu ndani ya muungano wa Kenya Kwanza (KKA), vyama vitapata asilimia 60 ya […]