Mkahawa Solutions: Programu inayorahisisha biashara zinazohusu mikahawa

Taifa Leo
Published: Mar 19, 2023 14:32:25 EAT   |  Business

NA MAGDALENE WANJA JANGA la Covid-19 lilikuwa na mazuri yake kwa sababu kwa kiwango kikubwa liliamsha ari ya watu mbalimbali kukuna vichwa na kuibuka na ubunifu mkubwa kiteknolojia. Kwa mfano kuna programu inayofahamika kama Mkahawa Solutions ambayo waanzilishi wake walikuwa na nia kwamba iweze kurahisisha biashara zote zinazohusiana na mikahawa. Hii ni pamoja na kuuza […]