Mjane, 64, alivyokita katika ushonaji kofia kukabili upweke wa kufiwa na mumewe mapema

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 03:08:43 EAT   |  General

NA KALUME KAZUNGU NI taaluma aliyoipenda tangu akiwa binti mchanga wa umri wa miaka 20 pekee. Na sasa akiwa ajuza aliyetinga miaka 64, Bi Khadija Hakofa Dawa katu hafikirii kuiacha tasnia hiyo ambayo ameiweka mahali pema katika chemba cha moyo wake. Akidumu katika ushonaji wa kofia hizo za vito kwa miaka 44 sasa, Bi Hakofa […]