Mizomo ya wafuasi wa Maina Njenga kwa Ruto yachemsha kambi yake

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 15:21:35 EAT   |  News

Na WANDERI KAMAU SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina Njenga (Laikipia), baada ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Bw Njenga kumzomea vikali Dkt Ruto alipofanya kampeni katika eneobunge la Laikipia Magharibi, Kaunti ya Laikipia. Kwa ghadhabu, Dkt Ruto aliwakosoa vikali watu hao, […]