Microsoft Digital kushirikiana na OCP Africa kuwapiga jeki wakulima

Taifa Leo
Published: Mar 11, 2023 09:53:13 EAT   |  Technology

NA LAWRENCE ONGARO AMPUNI ya Huduma za kidijitali ya Microsoft imetangaza ushirikiano na shirika la OCP Africa kwa minajili ya kuwainua wakulima wa chini wa Agro stakeholders katika bara la Afrika ifikapo mwaka wa 2025. OCP Africa ambayo ni kitengo cha kampuni barani Africa husambaza mbolea kwa wakulima wa chini na itaendelea kushirikiana na kampuni […]