Mhubiri kutoka Nigeria ashtakiwa kwa kupora benki mamilioni ya pesa

Na RICHARD MUNGUTI PASTA kutoka Nigeria ameshtakiwa kwa kula njama za kuitapeli benki mamilioni ya pesa. Pasta Wealth Ochelle almaarufu Apostle Wealth wa Kanisa la Cogic International Church of God lililoko eneo la Shanzu, Kaunti ya Mombasa, anakabiliwa na mashtaka kutapeli benki Sh28.7 milioni. Alipofikishwa mbele ya Hakimu Mkuu Mahakama ya Milimani Nairobi Lucas Onyina, alisomewa […]