Meneja wa benki ashtakiwa kwa wizi wa Sh66.9 milioni

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 06:00:24 EAT   |  General

NA RICHARD MUNGUTI MENEJA wa Family Bank ameshtakiwa kwa wizi wa Sh66.9 milioni. Elias Kinyua Njue alikana mbele ya hakimu mkazi Ben Mark Ekhubi kwamba aliibia benki hiyo Sh66,912,724 mnamo Agosti 3, 2023. Njue alikana aliiba pesa hizo kutoka makao makuu ya benki hiyo jijini Nairobi. Mshtakiwa alikana alichomoa pesa hizo alipokuwa anahusika na masuala […]