MCK yaunda sera ya kukuza uelewa wa habari

Taifa Leo
Published: Mar 17, 2023 06:11:17 EAT   |  Educational

NA CHARLES WASONGA BARAZA la Vyombo vya Habari Nchini (MCK) inatayarisha Sera ya kwanza ya Kitaifa kuhusu Vyombo vya Habari na Uelewa wa Habari kwa manufaa ya Wakenya. Sera hiyo inayotengenezwa kwa ufadhili kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), itafanikisha mchakato wa utengeneza wa sheria kuhusu vyombo vya habari […]