Mchungaji Paul Makenzi anayeandamwa na tuhuma za kuua watoto akamatwa na maafisa wa DCI

Taifa Leo
Published: Mar 22, 2023 15:09:16 EAT   |  General

NA ALEX KALAMA  MCHUNGAJI Paul Makenzi wa kanisa la Good News International anayetuhumiwa kutekeleza kitendo cha kinyama cha kuua watoto na kuwazika katika eneo la Shakahola wadi ya Adu, Kaunti ya Kilifi ametiwa mbaroni na maafisa wa Idara ya Kuchunguza Makosa ya Jinai (DCI) leo Jumatano. Inadaiwa ya kwamba waumini wa kanisa hilo la Good […]