Mcharaza gita Lokassa ya Mbongo akosa kuzikwa miezi sita baada ya kifo chake

NA AMOS NGAIRA MWANAMUZIKI maarufu wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Lokassa ya Mbongo, aliyefariki miezi sita iliyopita, bado hajazikwa, hali inayozua wasiwasi mkubwa miongoni mwa mashabiki wake nchini mwake, barani Afrika, Ulaya na Amerika. Lokassa, 80, aliaga dunia katika Hospitali ya St Joseph, Nashua, Amerika mnamo Machi 14, baada ya kuugua kwa muda […]