Mchango: Familia ya mtandaoni yampa mtangazaji Kimani Mbugua bega la kuegemea

NA MARY WANGARI MWANAHABARI nyota wa zamani katika runinga ya Citizen amejitokeza kuomba msaada kwa Wakenya baada ya kupambana na maradhi ya akili (bipolar) kwa miaka miwili. Kupitia video aliyorekodi na kuisambaza Jumapili kwenye mitandao ya kijamii na iliyofikia Taifa Leo, kijana Kimani Mbugua amefichua kwamba maisha yalianza kumwendea segemnege mnamo 2020 alipogunduliwa kuwa na […]