Mboko aahidi kutetea fidia ya Dongo Kundu

NA WINNIE ATIENO MBUNGE wa Likoni, Bi Mishi Mboko, ameahidi wamiliki wa ardhi watakaoathiriwa na ujenzi wa eneo la kiviwanda la Dongo Kundu kuwa atahakikisha wamepokea fidia zao kikamilifu. Bi Mboko alisema mradi huo ni muhimu kwa kuwa utapiga jeki uchumi wa Pwani hasa Kaunti ya Mombasa, na kufungua nafasi za ajira. Alisisitiza umuhimu wa […]