Mbarak aonya kuhusu uwezekano wa maafisa wa umma kutumia El Nino kama kisingizio cha wizi wa pesa za umma

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 09:25:30 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA AFISA Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Twalib Mbarak ameonya kuhusu njama ya baadhi ya magavana na maafisa katika serikali kuu kupora pesa za umma kwa kizingizio cha kujiandaa kwa mvua kubwa ya El Nino. Bw Mbarak alifichua kuwa tume hiyo imekusanya habari za kijasusi kwamba baadhi […]