Mbappe aongoza PSG kuzamisha Monaco ligini

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 15:15:50 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA KYLIAN Mbappe alifunga mabao mawili na kusaidia Paris Saint-Germain (PSG) kukung’uta AS Monaco 2-0 katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) mnamo Jumapili. PSG ya kocha Mauricio Pochettino iliponea chupuchupu kufungwa bao la mapema na Sofiane Diop wa Monaco aliyegonga mhimili wa lango la wenyeji wao. Bao la Mbappe lilikuwa zao la ushirikiano […]