Matano asema Tusker hawana mpango wa kumsajili Lewis Bandi wa AFC Leopards

NA JOHN ASHIHUNDU KOCHA Robert Matano wa Tusker FC amesema klabu yake haina mpango wowote wa kumsajili Lewis Bandi anayeripotiwa kutoweka kwenye kambi ya AFC Leopards. Matano alisema hayo kufuatia madai ya baadhi ya wafuasi wa Leopards kwamba staa huyo mwenye umri wa miaka 20 anafanya mazungmzo na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya […]