Maswali Seneta Karen Nyamu akisaidia Samidoh kutumbuiza majuu

NA MERCY KOSKEI MASHABIKI wa msanii wa Mugithi, Samuel Muchoki almaarufu Samidoh nchini Australia walishangaa kumuona Seneta maalum Karen Nyamu akimsaidia kutumbuiza. Wawili hao walifanya shoo katika mojawapo ya maeneo ya burudani nchini Australia na kuwaacha wengi kwa mshangao kwa jinsi wanavyopendana. Nyamu alijumuika na mpenziwe jukwaani akiwaacha mashabiki wa Samidoh kwa furaha huku wakishangilia walipokuwa […]