Maskwota wa Mavoloni wataka usaidizi kutoka kwa serikali

NA LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Mavoloni, Yatta, kaunti ya Machakos, wametoa malalamiko baada ya kufurushwa kutoka maeneo ya milimani walikokuwa wakiishi kwa miaka mingi. Familia zaidi ya 300 zilifurushwa wiki jana, kutoka maeneo hayo ambayo wameishi kwa miaka mingi. Baada ya kutimuliwa mahali hapo sasa maskwota hao wamelazimika kutafuta makazi mapya katika makanisa […]