Maskwota Lamu watishia kususia uchaguzi mkuu

Taifa Leo
Published: May 10, 2022 10:04:23 EAT   |  News

NA KALUME KAZUNGU MASKWOTA katika Kaunti ya Lamu wametisha kususia uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022 wakidai wamekosa imani na viongozi wao. Maskwota hao wanadai wanasiasa wa Lamu huwajia kuomba kura kila wakati uchaguzi mkuu unapowadia na punde wanapoingia uongozi huwasahau. Msemaji wao, Bw Kombo Abushir, alisema kwa miaka mingi wanaendelea kuhangaika wakitafuta makao ilhali […]