Maporomoko yaua wanaume wawili wakilala pangoni Mama Ngina

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 08:03:03 EAT   |  General

NA WACHIRA MWANGI WANAUME wawili wameaga dunia kutokana na majeraha waliyopata huku mmoja akipigania maisha yake baada ya maporomoko ya ardhi kutokea karibu na kivuko cha Likoni, kwenye Kisiwa cha Mombasa leo Alhamisi asubuhi. Watatu hao walikuwa wamelala katika mojawapo ya mapango yaliyo kando ya eneo la Mama Ngina Waterfront wakati udongo uliporomoka na kuwaua […]