MAPISHI KIKWETU: Mboga na korosho za kukaangwa

Taifa Leo
Published: Mar 17, 2023 07:47:57 EAT   |  Business

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 10 Muda wa mapishi: Dakika 20 Walaji: 2 Vinavyohitajika kikombe ½ korosho kikombe 1 hisa ya kuku karoti 1 zukini 1 mbaazi kikombe 1 yaliyochemshwa kikombe 1 cha maharagwe yaliyochemshwa kikombe 1 cha karanga mahindi tamu kikombe ½ kitunguu maji 2 kikombe ½ koliflawa brokoli kikombe ½ […]