Mapenzi yanoga, Madam Boss, Akothee afichua humpigia simu mpenziwe mzungu saa tisa alfajiri

Taifa Leo
Published: Mar 21, 2023 11:19:09 EAT   |  Entertainment

NA SAMMY WAWERU MWANAMUZIKI Esther Akoth maarufu kama Akothee amefichua kwamba humpigia simu mchumba wake mzungu alfajiri na mapema kila siku kumjulia hali alivyolala usiku kucha. Muimbaji huyo wa kibao maarufu Give it To Me, alifichua Jumanne kwamba kuzungumza na mpenzi wake mzungu saa tisa alfajiri ni ratiba yake. Mchumba wake anayemtambua kama Omosh anaishi […]