Man-United kuvaana na PSG katika hatua ya 16-bora ya UEFA msimu huu

Na MASHIRIKA MANCHESTER United watakutana na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa katika hatua ya 16-bora ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu huu wa 2021-22. Ni pambano la mikondo miwili linalotarajiwa kuwakutanisha wanasoka wawili wa haiba kubwa zaidi katika soka ya sasa duniani – Lionel Messi wa PSG na Cristiano Ronaldo wa Man-United. Mabingwa watetezi Chelsea […]