Mamake Trio Mio aomba msaada wa DCI mwanawe akitishwa kuuawa

Taifa Leo
Published: Jun 11, 2023 07:59:51 EAT   |  Technology

NA MERCY KOSKEI IRMA Sakwa, mama na meneja wa mwimbaji maarufu Trio Mio, ameibua wasiwasi kuhusu usalama wa mwanawe kufuatia vitisho vya kifo vilivyochapishwa mtandaoni. Hii ni baada ya mtumiaji wa Twitter aliyetambulika kama Theecarbon4, kusambaza ujumbe ambapo wanaume wawili walisikika wakitema vitisho vya kifo kwa Trio Mio wakidai kuwa alitoroka na pesa zao. “Trio Mio, […]