Mama mmoja Kwale asimulia jinsi genge lilivyompiga mwanawe kwa saa mbili na kumuua

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 06:10:16 EAT   |  News

NA FARHIYA HUSSEIN FAMILIA moja kutoka eneo la Kaza Moyo katika Kaunti ya Kwale inalilia haki baada ya jamaa wao kuuawa kwa njia tatanishi. Kulingana nao, asubuhi ya Septemba 15, 2023, kijana Jacob Nyae Ngala aliyekuwa na umri wa miaka 23 alikuwa ametoka kuoga huku akiwa amekaa nje ya nyumba yao akipata kiamsha kinywa. “Dakika […]