Malindi: Wanawake wafanya kazi za sulubu kwa bidii kukabili gharama ya juu ya maisha

NA ALEX KALAMA WANAWAKE katika eneo la Malindi wamevalia njuga kazi ya uvunjaji kokoto ambayo miaka ya nyuma ilifanywa sana na wanaume katika eneo hili ili kutafutia familia zao riziki. Wanawake hao kutoka kijiji cha Muyeye awali walikuwa wakitegemea kazi za hoteli katika kukidhi mahitaji yao. Lakini kwa sasa wanakumbwa na changamoto nyingi za kiuchumi […]