Makundi ya kidini Kenya yasifu Rais Museveni kuharamisha ushoga na usagaji

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 11:01:36 EAT   |  News

NA TITUS OMINDE SIKU moja baada ya Rais wa Uganda Yoweri Museven kutia saini sheria kuharamisha ushoga na usagaji nchini, Baraza Kuu la Wasomi wa dini ya Kiislamu nchini maarufu FATWA limeunga mkono hatua hiyo. Naibu mwenyekiti wa baraza hilo Sheikh Abubakar Bini alipongeza Rais Museveni huku akitaka viongozi wengine barani Afrika kuiga mfano wa […]