Makundi sasa kupata mkopo wa Hasla

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 06:07:56 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto mnamo Alhamisi alizindua huduma nyingine ya mpango wa utoaji mikopo kutoka kwa Hazina ya Hasla unaolenga makundi yaliyosajiliwa. Dkt Ruto alifanya uzinduzi huo katika uwanja wa Moi mjini Embu ambako aliongoza sherehe za 60 za Sikukuu ya Madaraka Dei. “Ni furaha yangu kutangaza wakati wa sherehe za leo (jana […]