Makahaba wapandisha bei wakilalamikia polisi na Mungiki kuwawekea ushuru

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2023 09:30:47 EAT   |  News

NA MWANGI MUIRURI  MAKAHABA katika mtaa wa Githurai 45, mpakani mwa Kiambu na Nairobi Desemba 6, 2023 walitangaza nyongeza ya bei ya huduma kwa kati ya Sh50 na Sh100. Walisema nyongeza hiyo imetokana na hongo ya polisi ambayo imeongezeka kutoka Sh10 kwa kila kahaba kila siku hadi Sh20, huku nalo genge la Mungiki likiongeza ada […]