Makabila makubwa yajinyakulia nafasi nyingi za ajira katika Idara ya Magereza yale madogo yakiachwa kwa mshangao

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 07:17:00 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA JAMII za Wakenjin, Wakikuyu, Wakamba na Waluhya ndizo zilizo na uwakilishi mkubwa katika Huduma za Magereza Nchini Kenya (KPS). Maafisa kutoka jamii hizo ndio wengi zaidi ambapo idadi ya Wakalenjin ni 5,723 wakifuatwa na Wakikuyu ambao ni 5,335 huku idadi ya maafisa kutoka jamii ya Wakamba ikiwa 3,278. Jamii ya Waluhya inashikilia […]