Maigo azikwa nyumbani Amasago

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 12:39:27 EAT   |  News

NA WYCLIFFE NYABERI  ALIYEKUWA kaimu Mkurugenzi wa Fedha katika Nairobi Hospital, Eric Maigo Onchari amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Amasago karibu na kituo cha kibiashara cha Keumbu, eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii. Maigo alipatikana akiwa ameuawa katika nyumba yake ya Woodley jijini Nairobi mnamo Septemba 15, 2023. Alidungwa kisu kifuani na shingoni […]