Mahakama yaambiwa Mackenzie aliongoza ibada za kuwazika waumini waliofunga wakaangamia

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 16:14:27 EAT   |  News

Na BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya Shanzu imeelezwa Ijumaa kuwa mhubiri Paul Mackenzie aliongoza hafla ya mazishi ya mamia ya wafuasi wake ambao walifariki baada ya kufunga kwa siku nyingi kwenye msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Stakabadhi zilizoletwa mahakamani zinaonyesha kuwa Mackenzie aliwasifu wale ambao walikuwa wakifa kama mashujaa na kuwashajiisha wale ambao bado walikuwa […]