Magavana wazuru Tatu City kujifunza maendeleo endelevu

NA LAWRENCE ONGARO TATU CITY ilialika Wizara ya Biashara na Viwanda ili kujionea mengi yanayoendeshwa katika eneo hilo. Kwenye mwaliko huo, magavana wote 47 walipata mwaliko lakini magavana 18 pekee ñdio walihudhuria. Katika hafla hiyo, meneja mkuu wa Tatu City nchini, Preston Mendenhall, aliwakaribisha magavana na Waziri wa Biashara Bw Moses Kuria, huku akiwajulisha mafanikio yaliyopatikana […]