Magari ya umeme kuwa na nambari maalum

Taifa Leo
Published: Mar 29, 2024 05:50:11 EAT   |  News

NA HILARY KIMUYU SERIKALI imetangaza kwamba magari yanayotumia Umeme (EVs) sasa yatakuwa na nambari spesheli za usajili zenye rangi ya kijani. Tangazo hilo lilitolewa na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, wakati wa uzinduzi wa rasimu ya sera ya vyombo vya uchukuzi vinavyotumia stima katika Jumba la KICC. Waziri Murkomen alisema nambari hizi za kipekee zitatolewa […]